TPS Moshi Newsroom

Latest News

Ceremonies, training milestones, visits and achievements from Tanzania Police School, Moshi.

  • 27 stories
  • Updated 13 Oct 2026
  • 3 topics
Hafla ya kuwaaga makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi TPS-MOSHI 3

Hafla ya kuwaaga makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi TPS-MOSHI

Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Mongoso Wambura, makamishna watatu waliostaafu, Kamishna mstaafu Faustine Shilogile, Kamishna mstaafu Benedict Wakulyamba na Kamishna mstaafu Albert Nyamhanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa mambo ya ndani Mhe Patrobas Paschal Katambi wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika Shule ya Polisi Moshi…

UFUNGUZI  RASMI WA MAFUNZO YA UONGOZI  MDOGO NGAZI YA CHEO YA SAJINI

UFUNGUZI RASMI WA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO NGAZI YA CHEO YA SAJINI

Afisa Mnadhimu Utawala SACP Stanley Kabiki Kulyamo ambaye pia ni Kaimu Commandant wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi amefungua rasmi mafunzo ya Uongozi Mdogo Jeshini ngazi ya cheo cha Sajini (Sergeant) leo tarehe 19/03/2025 ikiwa ni kozi no.2/2024/2025.Aidha kabla ya …

WATER  PROJECT AT KAMBAPORI CAMP BY TANZANIA POLICE SCHOOL MOSHI

WATER PROJECT AT KAMBAPORI CAMP BY TANZANIA POLICE SCHOOL MOSHI

Water Project Kambapori The community of Kambapori has long grappled with persistent water shortages, impacting daily life and development. However, hope is on the horizon as a transformative solution is being initiated. Spearheaded by the Commandant of the Tanzania Police …

Official announcements

Admissions, training and recruitment notices from TPS Moshi, with forms and documents to download.

See all announcements

Have a story to share?

Ceremonies, visits, achievements — tell the TPS Moshi media desk.

Contact the media desk