Hafla ya kuwaaga makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi TPS-MOSHI

March 4, 2026 1 min read
Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Mwangoso Wambura, makamishna watatu waliostaafu, Kamishna mstaafu Faustine Shilogile, Kamishna mstaafu Benedict Wakulyamba na Kamishna mstaafu Albert Nyamhanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa mambo ya ndani Mhe Patrobas Paschal Katambi wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika Shule ya Polisi Moshi.