TPS Moshi Newsroom

Latest News

Ceremonies, training milestones, visits and achievements from Tanzania Police School, Moshi.

  • 27 stories
  • Updated 13 Oct 2026
  • 3 topics
MKUFUNZI MKUU TPS-MOSHI AFANYA ZIARA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KILIMANJARO Top story 7 photos

MKUFUNZI MKUU TPS-MOSHI AFANYA ZIARA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KILIMANJARO

Mkufunzi Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, ACP Omary Kisalo, leo tarehe 13.10.2026 amefanya ziara Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea vifaa mbalimbali vya uokoaji na kujadili utaratibu wa kuandaa ratiba ya mafunzo …

Read the full story
TPS MOSHI KUWAJENGA TAKUKURU KATIKA NIDHAMU, UZALENDO 5

TPS MOSHI KUWAJENGA TAKUKURU KATIKA NIDHAMU, UZALENDO

Komandanti wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, SACP Ramadhani Athumani Mungi, amesema Shule hiyo itawajenga wanafunzi wa mafunzo ya awali kwa Maafisa uchunguzi TAKUKURU kinidhamu, uzalendo na utii wa Sheria za Nchi. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mafunzo …

MH. KIKWETE AZURU TPS MOSHI, ARIDHIKA NA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA 12

MH. KIKWETE AZURU TPS MOSHI, ARIDHIKA NA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na utawala Bora, Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb), amefika Shule ya Polisi Tanzania Moshi Kwa lengo la kufanya ufunguzi rasmi wa mafunzo ya awali kwa Maafisa uchunguzi TAKUKURU. MH. …

KAMISHNA AWADHI AFANYA UKAGUZI SHULE YA POLISI TANZANIA–MOSHI 23

KAMISHNA AWADHI AFANYA UKAGUZI SHULE YA POLISI TANZANIA–MOSHI

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania, AWADHI JUMA HAJI amefanya ziara ya ukaguzi katika Shule ya Polisi Tanzania–Moshi, kwa lengo la kujionea na kutathmini maendeleo ya mafunzo yanayoendelea shuleni hapo pamoja na utekelezaji wa programu mbalimbali …

UJUMBE WA WAKUFUNZI KUTOKA MISRI WAWASILI TPS MOSHI 15

UJUMBE WA WAKUFUNZI KUTOKA MISRI WAWASILI TPS MOSHI

Picha mbalimbali zikimuonyesha Komandanti wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, SACP Ramadhan A. Mungi, wakati wa mapokezi ya ujumbe wa Wakufunzi kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, leo tarehe 05/10/2026.

WASTAAFU WATAKIWA KUWA KIELELEZO

WASTAAFU WATAKIWA KUWA KIELELEZO

Mkuu wa Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, GODFREY MZAVA, amewataka wastaafu wa Jeshi la Polisi kuwa kielelezo chema katika maisha yao baada ya kustaafu utumishi wa umma.

SACP MUNGI AFUNGA MAFUNZO YA TCPC NTA LEVEL 05 4

SACP MUNGI AFUNGA MAFUNZO YA TCPC NTA LEVEL 05

Leo tarehe 21/08/2026, picha mbalimbali za Commandant wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, SACP Ramadhani A. Mungi, wakati wa kufunga Mafunzo ya TCPC NTA Level 05. Wahitimu: Wanaume 15, Wanawake 7, Jumla 22.

TUMIENI ELIMU YENU KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA TEKNOLOJIA

TUMIENI ELIMU YENU KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA TEKNOLOJIA

Commandant wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, SACP Ramadhan A. Mungi, amewataka wanafunzi wa Elimu ya Juu IAA–TPS Moshi kutumia elimu wanayoipata chuoni hapa ili kukabiliana na changamoto zinazoletwa na maendeleo ya teknolojia…

KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA KIUFUNDI TPS-MOSHI NA IAA 2

KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA KIUFUNDI TPS-MOSHI NA IAA

Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi leo tarehe 01 Julai 2026 imefanya kikao cha Kamati ya Pamoja ya Kiufundi (Joint Technical Committee) kwa ajili ya kujadili uendeshaji wa programu za masomo zinazotekelezwa kwa ushirikiano kati ya TPS-Moshi na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)…

CP RAMADHANI KINGAI AFUNGA KIKAO CHA UCHUNGUZI WA KISAYANSI

CP RAMADHANI KINGAI AFUNGA KIKAO CHA UCHUNGUZI WA KISAYANSI

Leo, tarehe 05/06/2026 Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhan Kingai amefunga kikao kazi cha kuwajengea uwezo washiriki 215 wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kutoka mikoa, wilaya na vikosi mbalimbali nchini…

ACP KISALO AONGOZA ROUTE MARCH 3

ACP KISALO AONGOZA ROUTE MARCH

Leo tarehe 06/06/2026, Mkufunzi Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi na Kaimu Mkuu wa Utawala, ACP Omary Kisalo, ameongoza zoezi la Route March lililowashirikisha wakufunzi wote wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi…

Official announcements

Admissions, training and recruitment notices from TPS Moshi, with forms and documents to download.

See all announcements

Have a story to share?

Ceremonies, visits, achievements — tell the TPS Moshi media desk.

Contact the media desk