January 23, 2026
•
1 min read
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Bab, akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mfanyakazi bora wa mwaka wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi (TPS-MOSHI), stafu Sajent Habibu. Sajent Habibu ameonyesha bidi zaidi na kufanya kazi kwa uadilifu. Sherehe hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Shule ya Polisi Moshi, wakati wa kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026