MKUFUNZI MKUU TPS-MOSHI AFANYA ZIARA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KILIMANJARO

October 13, 2026 • 1 min read
MKUFUNZI MKUU TPS-MOSHI AFANYA ZIARA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KILIMANJARO

Mkufunzi Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, ACP Omary Kisalo, leo tarehe 13.10.2026 amefanya ziara Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea vifaa mbalimbali vya uokoaji na kujadili utaratibu wa kuandaa ratiba ya mafunzo ya uokoaji kwa wanafunzi wa kozi mbalimbali zinazofanyika Shule ya Polisi Tanzania Moshi.

Mafunzo hayo yatalenga kuongeza uelewa na ujuzi wa pamoja kwa askari wa Jeshi la Polisi kuhusu taratibu sahihi za uokoaji wakati wa majanga, ili kuwawezesha kutoa msaada kwa ufanisi na kuzingatia kanuni za usalama.

Image gallery

MKUFUNZI MKUU TPS-MOSHI AFANYA ZIARA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KILIMANJARO Gallery Image