KAMISHNA AWADHI AFANYA UKAGUZI SHULE YA POLISI TANZANIA–MOSHI

October 6, 2026 • 1 min read
KAMISHNA AWADHI AFANYA UKAGUZI SHULE YA POLISI TANZANIA–MOSHI

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania, AWADHI JUMA HAJI amefanya ziara ya ukaguzi katika Shule ya Polisi Tanzania–Moshi, kwa lengo la kujionea na kutathmini maendeleo ya mafunzo yanayoendelea shuleni hapo pamoja na utekelezaji wa programu mbalimbali za mafunzo.

Katika ukaguzi huo uliofanyika Leo tarehe 06/10/2026, Kamishna AWADHI amewapongeza ujumbe wa wakufunzi kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri wanaosaidiana na Jeshi la Polisi Tanzania kuendesha kozi ya Ulinzi wa viiongozi na operesheni ya kikosi maalumu kwa ushirikiano wao katika kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania.

Aidha, CP AWADHI, amesema ushirikiano huo ni muhimu katika kuongeza ujuzi, weledi na uwezo wa kiutendaji wa askari, huku akieleza kuwa Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kunufaika zaidi na uzoefu na utaalamu wa wakufunzi hao katika kuimarisha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa wananchi.

Image gallery

KAMISHNA AWADHI AFANYA UKAGUZI SHULE YA POLISI TANZANIA–MOSHI Gallery Image